sw_tn/deu/32/17.md

982 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli.

Walitoa sadaka

"Watu wa Israeli walitoa sadaka"

miungu ambayo imejitokeza hivi karibuni

Hii ina maana Waisraeli hivi karibuni walijua kuhusu miungu hawa.

baba zako

Musa anazungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika wingi.

Umetelekeza ... baba yako ... ukasahau ... aliyekuzaa

Musa anazungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" na "wako" hapa ni katika umoja.

Umetelekeza Mwamba

Hapa Yahwe anaitwa mwamba kwa sababu ana nguvu na analinda. "Umeacha matunzo ya kilinzi ya Yahwe"

Mwamba

Hii ni jina stahiki ambalo Musa anampatia Yahwe, ambaye, kama mwamba, ana nguvu na anaweza kuwalinda watu wake.

ambao ulikuwa baba yako ... aliyekuzaa

Hii inamlinganisha Yahwe na baba na mama. Hii ina maana ya kwamba Mungu aliwasababisha waishi kuwa taifa. "aliyekuwa baba yako ... aliyekupa uhai kwako"