# Taarifa ya Jumla: Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. # Walitoa sadaka "Watu wa Israeli walitoa sadaka" # miungu ambayo imejitokeza hivi karibuni Hii ina maana Waisraeli hivi karibuni walijua kuhusu miungu hawa. # baba zako Musa anazungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika wingi. # Umetelekeza ... baba yako ... ukasahau ... aliyekuzaa Musa anazungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" na "wako" hapa ni katika umoja. # Umetelekeza Mwamba Hapa Yahwe anaitwa mwamba kwa sababu ana nguvu na analinda. "Umeacha matunzo ya kilinzi ya Yahwe" # Mwamba Hii ni jina stahiki ambalo Musa anampatia Yahwe, ambaye, kama mwamba, ana nguvu na anaweza kuwalinda watu wake. # ambao ulikuwa baba yako ... aliyekuzaa Hii inamlinganisha Yahwe na baba na mama. Hii ina maana ya kwamba Mungu aliwasababisha waishi kuwa taifa. "aliyekuwa baba yako ... aliyekupa uhai kwako"