sw_tn/deu/32/17.md

32 lines
982 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli.
# Walitoa sadaka
"Watu wa Israeli walitoa sadaka"
# miungu ambayo imejitokeza hivi karibuni
Hii ina maana Waisraeli hivi karibuni walijua kuhusu miungu hawa.
# baba zako
Musa anazungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika wingi.
# Umetelekeza ... baba yako ... ukasahau ... aliyekuzaa
Musa anazungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" na "wako" hapa ni katika umoja.
# Umetelekeza Mwamba
Hapa Yahwe anaitwa mwamba kwa sababu ana nguvu na analinda. "Umeacha matunzo ya kilinzi ya Yahwe"
# Mwamba
Hii ni jina stahiki ambalo Musa anampatia Yahwe, ambaye, kama mwamba, ana nguvu na anaweza kuwalinda watu wake.
# ambao ulikuwa baba yako ... aliyekuzaa
Hii inamlinganisha Yahwe na baba na mama. Hii ina maana ya kwamba Mungu aliwasababisha waishi kuwa taifa. "aliyekuwa baba yako ... aliyekupa uhai kwako"