sw_tn/deu/32/14.md

484 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. Anazungumza kwa Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.

Alikula

Musa anaendelea kuzungumza na Waisraeli kama "Yakobo" (32:9). Unaweza kutafsiri hiki kana kwamba Musa alikuwa akizungumzia Waisraeli kama watu wengi. "Mababu zetu walikula"

mafuta ya wanakondoo, kondoo dume wa Bashani na mbuzi

Watu wa Israeli walikuwa na makundi mengi yenye afya ya wanyama.