sw_tn/deu/32/14.md

12 lines
484 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. Anazungumza kwa Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.
# Alikula
Musa anaendelea kuzungumza na Waisraeli kama "Yakobo" (32:9). Unaweza kutafsiri hiki kana kwamba Musa alikuwa akizungumzia Waisraeli kama watu wengi. "Mababu zetu walikula"
# mafuta ya wanakondoo, kondoo dume wa Bashani na mbuzi
Watu wa Israeli walikuwa na makundi mengi yenye afya ya wanyama.