# Taarifa ya Jumla: Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. Anazungumza kwa Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja. # Alikula Musa anaendelea kuzungumza na Waisraeli kama "Yakobo" (32:9). Unaweza kutafsiri hiki kana kwamba Musa alikuwa akizungumzia Waisraeli kama watu wengi. "Mababu zetu walikula" # mafuta ya wanakondoo, kondoo dume wa Bashani na mbuzi Watu wa Israeli walikuwa na makundi mengi yenye afya ya wanyama.