sw_tn/deu/32/05.md

1.1 KiB

Taarifa ya Jumla:

Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. Musa anaendelea kutumia lugha ya kufanana kusisitiza kile anachosema.

Wamefanya yaliyo maovu dhidi yake

"alimzuia kwa kufanya kilicho kiovu" Maneno ya kufanana yanajitokeza katika 4:15.

kizazi kiovu na kilichopindika

Maneno "kiouvu" na "kilichopindika" kimsingi ina maana moja. Musa anazitumia kusisitiza jinsi kizazi kilivyokuwa kiovu. "kizazi kilicho kiovu kabisa"

Je! Unamzawadia Yahwe kwa njia hii ... watu?

Musa anatumia swali kukaripia watu. "Unatakiwa kumpatia yahwe sifastahiki ... watu"

enyi watu wapumbavu na msiojitambua

Maneno "wapumbavu" na "msiojitambua" ina maana ya kitu kimoja na inasisitiza jinsi watu walivyo wapumbavu kwa kutomtii Yahwe. "nyie watu wapumbavu kabisa"

baba yenu ... aliwaumba ... Aliwafanya na kuwaimarisha

Musa anazungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.

Je! yeye si baba yenu, yule ambaye aliwaumba?

Musa anatumia swali kukaripia watu. Swali hili la balagha linaweza kutafsiriwa kama kauli. "Yahwe ni baba yako na yule aliyekuomba"