# Taarifa ya Jumla: Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. Musa anaendelea kutumia lugha ya kufanana kusisitiza kile anachosema. # Wamefanya yaliyo maovu dhidi yake "alimzuia kwa kufanya kilicho kiovu" Maneno ya kufanana yanajitokeza katika 4:15. # kizazi kiovu na kilichopindika Maneno "kiouvu" na "kilichopindika" kimsingi ina maana moja. Musa anazitumia kusisitiza jinsi kizazi kilivyokuwa kiovu. "kizazi kilicho kiovu kabisa" # Je! Unamzawadia Yahwe kwa njia hii ... watu? Musa anatumia swali kukaripia watu. "Unatakiwa kumpatia yahwe sifastahiki ... watu" # enyi watu wapumbavu na msiojitambua Maneno "wapumbavu" na "msiojitambua" ina maana ya kitu kimoja na inasisitiza jinsi watu walivyo wapumbavu kwa kutomtii Yahwe. "nyie watu wapumbavu kabisa" # baba yenu ... aliwaumba ... Aliwafanya na kuwaimarisha Musa anazungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja. # Je! yeye si baba yenu, yule ambaye aliwaumba? Musa anatumia swali kukaripia watu. Swali hili la balagha linaweza kutafsiriwa kama kauli. "Yahwe ni baba yako na yule aliyekuomba"