sw_tn/deu/32/05.md

28 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. Musa anaendelea kutumia lugha ya kufanana kusisitiza kile anachosema.
# Wamefanya yaliyo maovu dhidi yake
"alimzuia kwa kufanya kilicho kiovu" Maneno ya kufanana yanajitokeza katika 4:15.
# kizazi kiovu na kilichopindika
Maneno "kiouvu" na "kilichopindika" kimsingi ina maana moja. Musa anazitumia kusisitiza jinsi kizazi kilivyokuwa kiovu. "kizazi kilicho kiovu kabisa"
# Je! Unamzawadia Yahwe kwa njia hii ... watu?
Musa anatumia swali kukaripia watu. "Unatakiwa kumpatia yahwe sifastahiki ... watu"
# enyi watu wapumbavu na msiojitambua
Maneno "wapumbavu" na "msiojitambua" ina maana ya kitu kimoja na inasisitiza jinsi watu walivyo wapumbavu kwa kutomtii Yahwe. "nyie watu wapumbavu kabisa"
# baba yenu ... aliwaumba ... Aliwafanya na kuwaimarisha
Musa anazungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.
# Je! yeye si baba yenu, yule ambaye aliwaumba?
Musa anatumia swali kukaripia watu. Swali hili la balagha linaweza kutafsiriwa kama kauli. "Yahwe ni baba yako na yule aliyekuomba"