sw_tn/deu/32/03.md

620 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli.

nitatangaza jina la Yahwe

Hii ni lahaja. "kusema jinsi gani Yahwe ni mwema"

kumpatia ukuu Mungu wetu

"hakikisha watu wanajua ya kwamba Mungu wetu ni mkuu"

Mwamba

Hii ni jina sahihi ambalo Musa anampatia Yahwe, ambaye, kama mwamba, ni mwenye nguvu na anaweza kulinda watu wake.

kazi yake

"kila kitu afanyacho"

njia zake zote ni za haki

"anafanya kila kitu kwa njia ya haki"

Yeye ni wa haki na mwadilifu

Maneno haya mawili kimsingi yana maana moja na yanasisitiza ya kwamba Yahwe ni mwenye haki na anafanya kilicho sahihi.