# Taarifa ya Jumla: Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. # nitatangaza jina la Yahwe Hii ni lahaja. "kusema jinsi gani Yahwe ni mwema" # kumpatia ukuu Mungu wetu "hakikisha watu wanajua ya kwamba Mungu wetu ni mkuu" # Mwamba Hii ni jina sahihi ambalo Musa anampatia Yahwe, ambaye, kama mwamba, ni mwenye nguvu na anaweza kulinda watu wake. # kazi yake "kila kitu afanyacho" # njia zake zote ni za haki "anafanya kila kitu kwa njia ya haki" # Yeye ni wa haki na mwadilifu Maneno haya mawili kimsingi yana maana moja na yanasisitiza ya kwamba Yahwe ni mwenye haki na anafanya kilicho sahihi.