sw_tn/deu/32/03.md

28 lines
620 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli.
# nitatangaza jina la Yahwe
Hii ni lahaja. "kusema jinsi gani Yahwe ni mwema"
# kumpatia ukuu Mungu wetu
"hakikisha watu wanajua ya kwamba Mungu wetu ni mkuu"
# Mwamba
Hii ni jina sahihi ambalo Musa anampatia Yahwe, ambaye, kama mwamba, ni mwenye nguvu na anaweza kulinda watu wake.
# kazi yake
"kila kitu afanyacho"
# njia zake zote ni za haki
"anafanya kila kitu kwa njia ya haki"
# Yeye ni wa haki na mwadilifu
Maneno haya mawili kimsingi yana maana moja na yanasisitiza ya kwamba Yahwe ni mwenye haki na anafanya kilicho sahihi.