sw_tn/deu/31/30.md

12 lines
313 B
Markdown

# Musa alinena masikioni mwa kusanyiko lote la Israeli
Hapa "masikio" ina maana ya mtu mzima. "Musa alinena kwa watu wote wa Israeli"
# alinena
Maana zaweza kuwa 1) "aliimba" au 2) "alizungumza"
# maneno yote ya wimbo huu
Unaweza kuweka wazi taarifa inayoeleweka. "maneno ya wimbo ambayo Yahwe alimfundisha"