# Musa alinena masikioni mwa kusanyiko lote la Israeli Hapa "masikio" ina maana ya mtu mzima. "Musa alinena kwa watu wote wa Israeli" # alinena Maana zaweza kuwa 1) "aliimba" au 2) "alizungumza" # maneno yote ya wimbo huu Unaweza kuweka wazi taarifa inayoeleweka. "maneno ya wimbo ambayo Yahwe alimfundisha"