sw_tn/deu/31/30.md

313 B

Musa alinena masikioni mwa kusanyiko lote la Israeli

Hapa "masikio" ina maana ya mtu mzima. "Musa alinena kwa watu wote wa Israeli"

alinena

Maana zaweza kuwa 1) "aliimba" au 2) "alizungumza"

maneno yote ya wimbo huu

Unaweza kuweka wazi taarifa inayoeleweka. "maneno ya wimbo ambayo Yahwe alimfundisha"