sw_tn/deu/31/21.md

28 lines
972 B
Markdown

# Maovu na taabu nyingi zitakapokuja juu ya watu hawa
Hapa maovu na taabu zinaelezwa kana kwamba ni binadamu na inweza kuwapata watu. "Watu hawa watapopitia maovu na taabu nyingi"
# wimbo huu utashuhudia mbele yao kama shahidi
Hii inazungumzia juu ya wimbo kana kwamba ilikuwa shahidi wa kibinadamu akishuhudia mahakamani dhidi ya Israeli.
# hautasahaulika vinywani mwa uzao wao
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "vizazi vyake havitasahau kushika kinyani mwao"
# hautasahaulika vinywani mwa uzao wao
Hii inaweza kuwekwa kama chanya. "uzao wao watakumbuka kushika kinywani mwao"
# hautasahaulika vinywani mwa uzao wao
Lahaja ya "kusahau kutoka kinywani mwao" ina maana ya kuacha kuzungumzia juu yake. "uzao wao wataacha kuzungumzia juu yake baina yao"
# mipango wanayotengeneza
Kile ambacho watu hupanga kufanya inazungumziwa kana kwamba ilikuwa kitu halisia. "kile walichopanga kufanya"
# nchi niliyowaahidi
"nchi ambayo nilikuahidi ningewapatia wao"