# Maovu na taabu nyingi zitakapokuja juu ya watu hawa Hapa maovu na taabu zinaelezwa kana kwamba ni binadamu na inweza kuwapata watu. "Watu hawa watapopitia maovu na taabu nyingi" # wimbo huu utashuhudia mbele yao kama shahidi Hii inazungumzia juu ya wimbo kana kwamba ilikuwa shahidi wa kibinadamu akishuhudia mahakamani dhidi ya Israeli. # hautasahaulika vinywani mwa uzao wao Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "vizazi vyake havitasahau kushika kinyani mwao" # hautasahaulika vinywani mwa uzao wao Hii inaweza kuwekwa kama chanya. "uzao wao watakumbuka kushika kinywani mwao" # hautasahaulika vinywani mwa uzao wao Lahaja ya "kusahau kutoka kinywani mwao" ina maana ya kuacha kuzungumzia juu yake. "uzao wao wataacha kuzungumzia juu yake baina yao" # mipango wanayotengeneza Kile ambacho watu hupanga kufanya inazungumziwa kana kwamba ilikuwa kitu halisia. "kile walichopanga kufanya" # nchi niliyowaahidi "nchi ambayo nilikuahidi ningewapatia wao"