sw_tn/deu/31/21.md

972 B

Maovu na taabu nyingi zitakapokuja juu ya watu hawa

Hapa maovu na taabu zinaelezwa kana kwamba ni binadamu na inweza kuwapata watu. "Watu hawa watapopitia maovu na taabu nyingi"

wimbo huu utashuhudia mbele yao kama shahidi

Hii inazungumzia juu ya wimbo kana kwamba ilikuwa shahidi wa kibinadamu akishuhudia mahakamani dhidi ya Israeli.

hautasahaulika vinywani mwa uzao wao

Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "vizazi vyake havitasahau kushika kinyani mwao"

hautasahaulika vinywani mwa uzao wao

Hii inaweza kuwekwa kama chanya. "uzao wao watakumbuka kushika kinywani mwao"

hautasahaulika vinywani mwa uzao wao

Lahaja ya "kusahau kutoka kinywani mwao" ina maana ya kuacha kuzungumzia juu yake. "uzao wao wataacha kuzungumzia juu yake baina yao"

mipango wanayotengeneza

Kile ambacho watu hupanga kufanya inazungumziwa kana kwamba ilikuwa kitu halisia. "kile walichopanga kufanya"

nchi niliyowaahidi

"nchi ambayo nilikuahidi ningewapatia wao"