sw_tn/deu/30/15.md

16 lines
469 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.
# nimeweka mbele yako
Kuweka kitu pale ambapo mtu mwingine anawez kukona ni sitiari ya kumwambia mtu jambo. "nimekuambia kuhusu"
# uzima na wema, mauti na uovu
Unaweza kuweka wazi maana inayojitokeza. "ni nini kizuri na kitasababisha uishi, na nini ni kiovu na kitasababisha ufe"
# na kuongezeka
"na kuwa na vizazi vingi"