sw_tn/deu/30/15.md

469 B

Taarifa ya Jumla

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.

nimeweka mbele yako

Kuweka kitu pale ambapo mtu mwingine anawez kukona ni sitiari ya kumwambia mtu jambo. "nimekuambia kuhusu"

uzima na wema, mauti na uovu

Unaweza kuweka wazi maana inayojitokeza. "ni nini kizuri na kitasababisha uishi, na nini ni kiovu na kitasababisha ufe"

na kuongezeka

"na kuwa na vizazi vingi"