# Taarifa ya Jumla Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja. # nimeweka mbele yako Kuweka kitu pale ambapo mtu mwingine anawez kukona ni sitiari ya kumwambia mtu jambo. "nimekuambia kuhusu" # uzima na wema, mauti na uovu Unaweza kuweka wazi maana inayojitokeza. "ni nini kizuri na kitasababisha uishi, na nini ni kiovu na kitasababisha ufe" # na kuongezeka "na kuwa na vizazi vingi"