sw_tn/deu/29/07.md

331 B

Sihoni, mfalme wa Heshboni, na Ogu, mfalme wa Bashani

Haya ni majina ya wafalme.

walikuja dhidi yetu

Hapa "yetu" ina maana ya Musa na watu wa Israeli.

shikilia maneno ya agano hili na kuyatenda

Misemo hii miwili ina maana moja na inasisitiza ya kwamba watu walipaswa kutii amri za Mungu. "tii maneno yote ya agano hili"