sw_tn/deu/29/07.md

12 lines
331 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sihoni, mfalme wa Heshboni, na Ogu, mfalme wa Bashani
Haya ni majina ya wafalme.
# walikuja dhidi yetu
Hapa "yetu" ina maana ya Musa na watu wa Israeli.
# shikilia maneno ya agano hili na kuyatenda
Misemo hii miwili ina maana moja na inasisitiza ya kwamba watu walipaswa kutii amri za Mungu. "tii maneno yote ya agano hili"