# Sihoni, mfalme wa Heshboni, na Ogu, mfalme wa Bashani Haya ni majina ya wafalme. # walikuja dhidi yetu Hapa "yetu" ina maana ya Musa na watu wa Israeli. # shikilia maneno ya agano hili na kuyatenda Misemo hii miwili ina maana moja na inasisitiza ya kwamba watu walipaswa kutii amri za Mungu. "tii maneno yote ya agano hili"