sw_tn/deu/29/05.md

16 lines
367 B
Markdown

# Nimewaongoza
Yahwe anazungumza na watu wa Israeli.
# miaka arobaini
"miaka 40"
# ndala zako ... miguuni mwenu
Musa anazungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.
# kinywaji chochote chenye ulevi
Vinywaji vyenye vileo yawezekana vilivyotengenezwa kwa mazao ya kuvundikwa. havikuwa pombe iliyochujwa.