# Nimewaongoza Yahwe anazungumza na watu wa Israeli. # miaka arobaini "miaka 40" # ndala zako ... miguuni mwenu Musa anazungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja. # kinywaji chochote chenye ulevi Vinywaji vyenye vileo yawezekana vilivyotengenezwa kwa mazao ya kuvundikwa. havikuwa pombe iliyochujwa.