sw_tn/deu/29/05.md

367 B

Nimewaongoza

Yahwe anazungumza na watu wa Israeli.

miaka arobaini

"miaka 40"

ndala zako ... miguuni mwenu

Musa anazungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.

kinywaji chochote chenye ulevi

Vinywaji vyenye vileo yawezekana vilivyotengenezwa kwa mazao ya kuvundikwa. havikuwa pombe iliyochujwa.