sw_tn/deu/28/65.md

492 B

Habari ya jumla

Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" ma "yako" hapa yako kwenye umoja.

hakutakuwa na pumziko chini ya miguu yako

Hapa kikundi cha maneno "chini ya miguu yako" urejea kwa mtu mzima.

Yahwe atakupatia huko moyo wa kutetemeka, macho yanayofeli na nafsi inayoomboleza.

Hii ni nahau. "Yahwe atakusababisha wewe kuogopa, pasipo tumaini, na huzuni"

Maisha yako yataning'inia kwa mashaka mbele yako

"Hautajua kama utaishi au kufa"