# Habari ya jumla Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" ma "yako" hapa yako kwenye umoja. # hakutakuwa na pumziko chini ya miguu yako Hapa kikundi cha maneno "chini ya miguu yako" urejea kwa mtu mzima. # Yahwe atakupatia huko moyo wa kutetemeka, macho yanayofeli na nafsi inayoomboleza. Hii ni nahau. "Yahwe atakusababisha wewe kuogopa, pasipo tumaini, na huzuni" # Maisha yako yataning'inia kwa mashaka mbele yako "Hautajua kama utaishi au kufa"