sw_tn/deu/28/65.md

16 lines
492 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari ya jumla
Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" ma "yako" hapa yako kwenye umoja.
# hakutakuwa na pumziko chini ya miguu yako
Hapa kikundi cha maneno "chini ya miguu yako" urejea kwa mtu mzima.
# Yahwe atakupatia huko moyo wa kutetemeka, macho yanayofeli na nafsi inayoomboleza.
Hii ni nahau. "Yahwe atakusababisha wewe kuogopa, pasipo tumaini, na huzuni"
# Maisha yako yataning'inia kwa mashaka mbele yako
"Hautajua kama utaishi au kufa"