sw_tn/deu/28/58.md

561 B

Habari ya jumla

Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja.

ambayo yalioandikwa

Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "ambayo nimeyaandika"

hili tukufu na la kutisha jina, Yahwe Mungu wako

Hapa "jina" urejea kwa Yahwe mwenyewe. "Yahwe Mungu wako ni wa utukufu na wa kushangaza"

Yahwe atafanya mapigo yako kuwa ya kutisha, na yale ya wazao wako;

"Yahwe atatuma mapigo ya kutisha juu yako na uzao wako" au "Yahwe atahakikisha kwamba wewe na uzao wako utateseka kwa mapigo ya kutisha"