sw_tn/deu/28/58.md

16 lines
561 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari ya jumla
Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja.
# ambayo yalioandikwa
Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "ambayo nimeyaandika"
# hili tukufu na la kutisha jina, Yahwe Mungu wako
Hapa "jina" urejea kwa Yahwe mwenyewe. "Yahwe Mungu wako ni wa utukufu na wa kushangaza"
# Yahwe atafanya mapigo yako kuwa ya kutisha, na yale ya wazao wako;
"Yahwe atatuma mapigo ya kutisha juu yako na uzao wako" au "Yahwe atahakikisha kwamba wewe na uzao wako utateseka kwa mapigo ya kutisha"