# Habari ya jumla Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja. # ambayo yalioandikwa Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "ambayo nimeyaandika" # hili tukufu na la kutisha jina, Yahwe Mungu wako Hapa "jina" urejea kwa Yahwe mwenyewe. "Yahwe Mungu wako ni wa utukufu na wa kushangaza" # Yahwe atafanya mapigo yako kuwa ya kutisha, na yale ya wazao wako; "Yahwe atatuma mapigo ya kutisha juu yako na uzao wako" au "Yahwe atahakikisha kwamba wewe na uzao wako utateseka kwa mapigo ya kutisha"