forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
732 B
Markdown
24 lines
732 B
Markdown
# Habari ya jumla
|
|
|
|
Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yapo kwenye umoja.
|
|
|
|
# kutoka mwisho wa ulimwengu
|
|
|
|
Haya makundi ya maneno umaanisha kitu kile kile na kusisitiza kwamba adui atatokea taifa ambalo liko mbali sana na Israeli.
|
|
|
|
# kutoka mwisho wa ulimwengu
|
|
|
|
Hii ni nahau. "kutoka maeneo ambayo haujui kitu chochote kuhusu"
|
|
|
|
# kama tai arukaye kwa mhanga wake
|
|
|
|
Hii umaanisha adui atakuja kwa ghafla na Waisraeli hawataweza kuwazuia.
|
|
|
|
# taifa lenye sura katili ambayo haiheshimu wazee na haionyeshi fadhila
|
|
|
|
Neno "taifa" ni mfano wa neno kwa ajili ya watu wa taifa hilo.
|
|
|
|
# hadi mmeangamizwa
|
|
|
|
Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "hadi waangamize" au " hadi wawaache bila kitu"
|