sw_tn/deu/28/49.md

732 B

Habari ya jumla

Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yapo kwenye umoja.

kutoka mwisho wa ulimwengu

Haya makundi ya maneno umaanisha kitu kile kile na kusisitiza kwamba adui atatokea taifa ambalo liko mbali sana na Israeli.

kutoka mwisho wa ulimwengu

Hii ni nahau. "kutoka maeneo ambayo haujui kitu chochote kuhusu"

kama tai arukaye kwa mhanga wake

Hii umaanisha adui atakuja kwa ghafla na Waisraeli hawataweza kuwazuia.

taifa lenye sura katili ambayo haiheshimu wazee na haionyeshi fadhila

Neno "taifa" ni mfano wa neno kwa ajili ya watu wa taifa hilo.

hadi mmeangamizwa

Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "hadi waangamize" au " hadi wawaache bila kitu"