sw_tn/deu/28/45.md

531 B

Habari ya jumla

Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja.

Laana hizi zote zitakujia juu yako na kukuandama na kukupita hadi utakapoangamizwa.

Musa aelezea laana kama mtu ambaye angewavamia kwa mshutuko au kuwakimbiza na kuwashika.

sauti ya Yahwe Mungu wako

Hapa maneno "sauti ya Yahwe" ni maneno kwa kile Yahwe alisema.

amri na maagizo yake

Maneno "amri" na "maagizo" ni ya kujirudiarudia mara mbili mbili kwa "yote yale Yahwe amekuamuru kufanya."