sw_tn/deu/28/45.md

16 lines
531 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari ya jumla
Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja.
# Laana hizi zote zitakujia juu yako na kukuandama na kukupita hadi utakapoangamizwa.
Musa aelezea laana kama mtu ambaye angewavamia kwa mshutuko au kuwakimbiza na kuwashika.
# sauti ya Yahwe Mungu wako
Hapa maneno "sauti ya Yahwe" ni maneno kwa kile Yahwe alisema.
# amri na maagizo yake
Maneno "amri" na "maagizo" ni ya kujirudiarudia mara mbili mbili kwa "yote yale Yahwe amekuamuru kufanya."