# Habari ya jumla Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja. # Laana hizi zote zitakujia juu yako na kukuandama na kukupita hadi utakapoangamizwa. Musa aelezea laana kama mtu ambaye angewavamia kwa mshutuko au kuwakimbiza na kuwashika. # sauti ya Yahwe Mungu wako Hapa maneno "sauti ya Yahwe" ni maneno kwa kile Yahwe alisema. # amri na maagizo yake Maneno "amri" na "maagizo" ni ya kujirudiarudia mara mbili mbili kwa "yote yale Yahwe amekuamuru kufanya."