sw_tn/deu/28/33.md

20 lines
585 B
Markdown

# Habari ya jumla
Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja.
# taifa
Hapa neno "taifa" umaanisha watu toka kwa taifa.
# daima utaonewa na kugandamizwa
Maneno "kuonewa" na "kugandamizwa" kimsingi umaanisha kitu kile kile. Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "daima wataonewa na kugandamizwa" au " watawaonea daima"
# upatwe na wazimu kwa yale utakayoona yakitendeka
"kile unachoona kitakufanya kuwa wazimu"
# ambayo hutaweza kupona
Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "kwamba hakuna mmoja atakayeweza kuponya"