sw_tn/deu/28/33.md

585 B

Habari ya jumla

Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja.

taifa

Hapa neno "taifa" umaanisha watu toka kwa taifa.

daima utaonewa na kugandamizwa

Maneno "kuonewa" na "kugandamizwa" kimsingi umaanisha kitu kile kile. Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "daima wataonewa na kugandamizwa" au " watawaonea daima"

upatwe na wazimu kwa yale utakayoona yakitendeka

"kile unachoona kitakufanya kuwa wazimu"

ambayo hutaweza kupona

Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "kwamba hakuna mmoja atakayeweza kuponya"