# Habari ya jumla Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja. # taifa Hapa neno "taifa" umaanisha watu toka kwa taifa. # daima utaonewa na kugandamizwa Maneno "kuonewa" na "kugandamizwa" kimsingi umaanisha kitu kile kile. Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "daima wataonewa na kugandamizwa" au " watawaonea daima" # upatwe na wazimu kwa yale utakayoona yakitendeka "kile unachoona kitakufanya kuwa wazimu" # ambayo hutaweza kupona Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "kwamba hakuna mmoja atakayeweza kuponya"