sw_tn/deu/28/30.md

16 lines
587 B
Markdown

# Habari ya jumla
Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja.
# Ng'ombe wako atachinjwa mbele ya macho yako
Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "Utashuhudia mtu fulani anamuawa ng'ombe wako"
# punda wako atachukuliwa kwa nguvu mbele yako na hatarejeshwa kwako.
Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "mtu fulani atamchukua punda wako kwa nguvu na hatamrudisha"
# Kondoo wako watapewa maadui zako
Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "Nitawapa kondoo zako maadui wako" au "Nitawaruhusu maadui zako kuchukua kondoo wako"