sw_tn/deu/28/30.md

587 B

Habari ya jumla

Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja.

Ng'ombe wako atachinjwa mbele ya macho yako

Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "Utashuhudia mtu fulani anamuawa ng'ombe wako"

punda wako atachukuliwa kwa nguvu mbele yako na hatarejeshwa kwako.

Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "mtu fulani atamchukua punda wako kwa nguvu na hatamrudisha"

Kondoo wako watapewa maadui zako

Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "Nitawapa kondoo zako maadui wako" au "Nitawaruhusu maadui zako kuchukua kondoo wako"