sw_tn/deu/28/27.md

24 lines
660 B
Markdown

# Habari ya jumla
Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja
# majipu ya Misri
"ugonjwa ule ule wa ngozi ambao niliwalaani Wamisri"
# majipu...vidonda , kiseyeye
Haya ni aina ya magonjwa ya ngozi
# ambazo hautapona
Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "ambazo hakuna mmoja ataweza kuwaponya"
# Utapapasa papasa mchana kama kipofu apapasavyo gizani
Waisraeli watakuwa na maisha magumu hata wakati kila mmoja anafurahia maisha. "watakuwa kama watu vipofu ambao upapasa gizani hata wakati wa mchana"
# daima utakandamizwa na kuporwa
"watu wa nguvu sana daima watawakandamiza na kuwapora"