# Habari ya jumla Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja # majipu ya Misri "ugonjwa ule ule wa ngozi ambao niliwalaani Wamisri" # majipu...vidonda , kiseyeye Haya ni aina ya magonjwa ya ngozi # ambazo hautapona Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "ambazo hakuna mmoja ataweza kuwaponya" # Utapapasa papasa mchana kama kipofu apapasavyo gizani Waisraeli watakuwa na maisha magumu hata wakati kila mmoja anafurahia maisha. "watakuwa kama watu vipofu ambao upapasa gizani hata wakati wa mchana" # daima utakandamizwa na kuporwa "watu wa nguvu sana daima watawakandamiza na kuwapora"