sw_tn/deu/28/27.md

660 B

Habari ya jumla

Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja

majipu ya Misri

"ugonjwa ule ule wa ngozi ambao niliwalaani Wamisri"

majipu...vidonda , kiseyeye

Haya ni aina ya magonjwa ya ngozi

ambazo hautapona

Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "ambazo hakuna mmoja ataweza kuwaponya"

Utapapasa papasa mchana kama kipofu apapasavyo gizani

Waisraeli watakuwa na maisha magumu hata wakati kila mmoja anafurahia maisha. "watakuwa kama watu vipofu ambao upapasa gizani hata wakati wa mchana"

daima utakandamizwa na kuporwa

"watu wa nguvu sana daima watawakandamiza na kuwapora"