sw_tn/deu/28/22.md

20 lines
581 B
Markdown

# Habari ya jumla
Musa azungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa viko kwenye umoja
# magonjwa ya kuambukiza, kwa homa, kwa uvimbe
Haya yote urejea kwa magonhwa ambayo husababisha watu kuwa wadhaifu na kufa. "magonjwa na kuwaka homa ambayo itawafanya kuwa dhaifu"
# kwa kiangazi
"kwa upungufu wa mvua"
# ukungu
ukungu ambao ukuwa kwenye mazao na kuyasababisha kuoza
# Hivi vitakufukuza
Musa anazungumza kwa mambo mabaya ambayo yangeweza kutokea kwa Waisraeli kama walikuwa watu au wanyama ambayo wangewakimbiza baada ya Waisraeli.