sw_tn/deu/28/22.md

581 B

Habari ya jumla

Musa azungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa viko kwenye umoja

magonjwa ya kuambukiza, kwa homa, kwa uvimbe

Haya yote urejea kwa magonhwa ambayo husababisha watu kuwa wadhaifu na kufa. "magonjwa na kuwaka homa ambayo itawafanya kuwa dhaifu"

kwa kiangazi

"kwa upungufu wa mvua"

ukungu

ukungu ambao ukuwa kwenye mazao na kuyasababisha kuoza

Hivi vitakufukuza

Musa anazungumza kwa mambo mabaya ambayo yangeweza kutokea kwa Waisraeli kama walikuwa watu au wanyama ambayo wangewakimbiza baada ya Waisraeli.