# Habari ya jumla Musa azungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa viko kwenye umoja # magonjwa ya kuambukiza, kwa homa, kwa uvimbe Haya yote urejea kwa magonhwa ambayo husababisha watu kuwa wadhaifu na kufa. "magonjwa na kuwaka homa ambayo itawafanya kuwa dhaifu" # kwa kiangazi "kwa upungufu wa mvua" # ukungu ukungu ambao ukuwa kwenye mazao na kuyasababisha kuoza # Hivi vitakufukuza Musa anazungumza kwa mambo mabaya ambayo yangeweza kutokea kwa Waisraeli kama walikuwa watu au wanyama ambayo wangewakimbiza baada ya Waisraeli.