sw_tn/deu/28/20.md

24 lines
423 B
Markdown

# Habari ya jumla
Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa ni umoja
# laana, machafuko, kukemea
"maafa, hofu, na kukatisha tamaa"
# kwa yote unayoweka mkono wako
Hii ni nahau. "kila kitu unachofanya"
# mpaka uharibiwe
Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "mpaka maadui zako wakuharibu wewe"
# kuniacha mimi
Hapa "mimi" urejea kwa Yahwe
# kushikamana
kubaki kwako"